Picha: Rais Kenyatta aiongoza Kenya Kuadhimisha miaka 53 ya Uhuru (Madaraka Day)

No comments
Wednesday, June 1, 2016 By danielmjema.blogspot.com

Rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Muigai Kenyatta akiongoza wakenya kuadhimisha sherehe ya 53 ya Madaraka Day, yaliyofanyika katika uwanja wa Afraha Stadium mjini Nakuru. pichani Rais Kenyatta akikagua gwaride la Heshima, lililoandaliwa na majeshi ya Kenya. haya ni maadhimisho ya kwanza kuadhimishwa nje ya Jiji la Nairobi katika historia ya taifa hili.
Rais Kenyatta, Mke wake Mama Muigai, Makamu wa Rais William Ruto na mke wake pamoja na baadhi ya viongozi wakuu wa seriakli wakifuatlia burudani mbalimbali katika uwanja wa Afraha, Nakuru.
Rais Kenyatta akisalimiana na baadhi ya viongozi wakuu wa serikali, Mawaziri, wakuu wa jeshi pamoja na wageni waalikwa katika maadhimisho hayo mapema leo.
Rais Kenyatta akisalimia na Mke wa Makamu wa Rais William Ruto.
Rais Uhuru Kenyatta akisalimia na Mke wake. (picha zote kwa hisani ya Citizen Digital)

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .