Wafuasi wa Raila Odinga, wafurika Uhuru Park kuadhimisha Madaraka Day

No comments
Wednesday, June 1, 2016 By danielmjema.blogspot.com

Wakati Rais Uhuru Kenyatta akiwaongoza wakenya kuahimisha sherehe za Madaraka Day, mjini Nakuru kitaifa, wafuasi wa Waziri mkuu wa zamani ambaye pia ni kiongozi wa Muungano wa Upinzani (CORD), Raila Odinga walifurika katika uwanja wa Uhuru Park Jijini Nairobi kuadhimisha sherehe hizo za 53. Raila na viongozi wenzake wanatarajia kuhutubia wafuasi wao. Tizama baadhi ya matukio katika picha kutoka Uhuru Park.






Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .