Young Killer Amefunguka haya kuhusu Khaligraph

Posted in
No comments
Wednesday, June 1, 2016 By danielmjema.blogspot.com

Baada ya Khaligraph Joanes kumtaja Rapa Young Killer kutoka Bongo kama mmoja wa marapa wakali ambao anatamani kufanya nao kazi, Hitmaker huyo wa 'Dear Gambe' amefunguka na kusema kwamba  hitmaker huyo wa Dear Gambe amedai amefarijika sana baada ya kusikia hivyo.

“Nimefurahishwa sana baada ya kusikia taarifa hizi na ninaweza kusema tu Khaligraph ameniwahi kwani naye ni miongoni mwa wasanii ambao nina ndoto ya kufanya nao kazi,” Young Killer alisema kwenye Story 3 za Planet Bongo ya EA Radio.

“Khaligraph yupo real sababu kuna watu wengine wanakuwa wanapenda kazi zako lakini kusema ndio inakuwa issue lakini Khaligraph ameamua awe real na nitafanya naye ngoma ili nizidi kujiongezea mashabiki zaidi,” aliongeza rapper huyo.
Khaligraph ni rapper anayefanya vizuri kutoka Kenya na anaingia katika list ya wasanii waliofanya cover nzuri ya wimbo Ojuelegba wa Wizkid.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .