LINAH AMBWAGA AMINI; ATOKA NA BROTHERMEN
Posted in
No comments
Thursday, June 13, 2013
By
danielmjema.blogspot.com
Wiki kadhaa msanii Amini alisikika akisema kuwa yeye na msanii mwenzake
kutoka
Tanzania House of Talent (THT) Lina Sanga (Lina) wamerudiana
katika uhusiano wa kimapenzi baada ya kuachana. Lakini leo hii kupitia
mtandao wa instagram, nimekutana na picha iliyotumwa na video queen wa
video ya wimbo wa Masogange (Aggy Masogange) ikimuonyesha Lina na kijana
mwingine ikiwa na maelezo yanayo onyesha kuwa ni wapenzi.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :