ISCO ASAINI REAL MADRID, AKABIDHIWA JEZI YA BECKHAM

Posted in
No comments
Thursday, July 4, 2013 By danielmjema.blogspot.com

Mchezaji mpya wa Klabu ya Real Madrid, Isco amekabidhiwa Jezi namba 23, aliyokuwa akivaa mkali David Beckham  katika klabu hiyo, baada ya kusaini mkataba wa miaka mitano kuitumikia klabu hiyo.

Kiungo huyo mshambuliaji aliyekamilisha uhamisho wake kutoka Malaga kwenda Baernabeu jana alisema Real Madrid ni Klabu kubwa na ndoto ya kila mchezaji na kuongeza kuwa anafurahi kucheza sambamba na Christiano Ronaldo.

Isco mwenye umri wa miaka 21, alisema kuwa ameamua kuchagua jezi namba 23 kwa sababu jana ilikuwa ni Mwaka wa kuzaliwa kwa kaka yake.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .