MUONEKANO MPYA WA RAY C BALAAA; WADAU TUENDELEE KUMUOMBEA
Posted in
No comments
Thursday, July 4, 2013
By
danielmjema.blogspot.com
Pamoja na ukimya wake katika muziki, Ray C a.k.a kiuno bila mfupa sasa anaonekana kuwa active zaidi katika mitandao ya kijamii hususan Instagram. Ray C ameshare baadhi ya picha na fans wake kupitia instagram ambazo kwa namna moja au nyingine zinaongea zenyewe (kwa kusindikizwa na captions) juu ya maisha yake ya sasa.
Kwa ufupi ni kuwa Rehema anakula bata tu sasa hivi, thanks kwa shavu alilopewa na Rais Jakaya Kikwete ambaye anamuita ‘Daddy’. Take a look…. Hizi ni baadhi ya picha zinazomwonesha yeye mwenyewe alivyo sasa, amenenepa sana!
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :