WAHAMIAJI KUTOKA AFRICA NA SYRIA TISHIO CICILY-ITALY
Posted in
No comments
Wednesday, October 16, 2013
By
danielmjema.blogspot.com
Amri hiyo itaruhusu utoaji fedha kwa ajili ya wafanyakazi wa misaada ambao watasaidia kuwahudumia mamia ya wahamiaji kutoka Afrika na Syria.
Uokoaji wa sasa umekuja siku moja baada ya Italia kutangaza kuongeza doria kufuatia vifo vya mamia ya wahamiaji ambao wanasafiri katika mashua zenye msongamano mkubwa wa abiria.Watu wapatao 33 wamekufa Ijumaa wakati mashua yao ilipozama kati ya Malta na kisiwa cha Lampedusa.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :