MATUKIO KATIKA PICHA MAHAFALI YA 14 KIDATO CHA NNE, SHULE YA SEKONDARI PASUA

Posted in
No comments
Sunday, November 24, 2013 By danielmjema.blogspot.com

Muda wa kumpokea Mgeni Rasmi, Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mlima Kilimanjaro kanisa la Anglikana, Stanley Hotay ukawadia, kushoto ni Mkuu wa shule Prosper Gurtu.
Muda wa kuasaini kitabu cha Wageni Ofisini kwa Mwalimu Mkuu ukafuata
Karibu Mgeni Rasmi, Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mlima Kilimanjaro kanisa la Anglikana, Stanley Hotay

Muda wa Utambulisho kwa Mgeni Rasmi kutoka kwa Mkuu wa shule, Prosper Gurtu ndio huu.
Wahitimu wa kidato chja nne shule ya sekondari ya pasua wakiwa katika majoho yao

Wahitimu wa kidato chja nne shule ya sekondari ya pasua wakiwa katika majoho yao

Wahitimu wa kidato chja nne shule ya sekondari ya pasua wakiwa katika majoho yao, huku wakionesha nyuso za furaha wakati wakisubiri kupokea zawadi mbalimbali jana.

Muda wa Yanga kufanya yao uliwadia wakafanya kama walivyoagizwa na kocha wao...chezea Yanga wewe!!!!
Basi walimu wao walifurahi kweli kweli...raha ufundishe wafundishike
hawa nao hawakuachwa nyuma hii ndio raha bhanaaaa!
msemaji wa Hovyo...MC... Akafanye yake basi yakawa ni raha tupu!!
Fashion Show si ikafuata...masharabaro utawajua tu na mambao hii ndiyo Pasua Sekondari, karibu upate haya na mengine katika maisha ya Skonga!
Walimbwende "In Making" hapa utawapata akina Miriam Odemba wengi tu.. usipime kabisa
Kwa mwendo wa Madaha... ado ado mpaka yule na yule chezea wanafunzi wa Pasua Sekondari weye
Hapa sasa ndipo utamu unaponoga sasa...baada ya ma "cut walking" ya nguvu sasa tunajipanga kama wana wa Pasua Sekondari ni mambo ya Talent na Fashion Show mwendo mdundo
Walimu wao katika swala zima la Fashion Show na mitindo hawa hapa, cheki bonge la Cut walking tunakanyaga staili ya Nyau chezea!
Enheee sasa tunapozi kwa ajili ya Mauzo...kitu cha picha ya kumbukumbu kwenye Noticeboard ya Shule
Hapa Rose Muhando Lazima Akae tu subiri tunamaliza tunakuja huko mitaani mtatukoma tu,
Wahitimu wa kidato chja nne shule ya sekondari ya pasua wakiwa katika majoho yao

Wahitimu wa kidato chja nne shule ya sekondari ya pasua wakiwa katika majoho yao

Wahitimu wa kidato chja nne shule ya sekondari ya pasua wakiwa katika majoho yao

Wahitimu wa kidato chja nne shule ya sekondari ya pasua wakiwa katika majoho yao

Mamajusi Kwaya wakafanya yao
Risala ya Wahitimu kutoka kwa kaka mkuu, Aniseth Munisi ikafuata
Aaah Babu...hapo ni wanaume kutoka Mamajusi kwaya wakimtukuza Mungu kwa wimbo wa Injili
Risala ya Shule ilisomwa na Mkuu wa shule, Prosper Gurtu mwenyewe
Hotuba ya Hekima kutoka kwa Mgeni Rasmi, Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mlima Kilimanjaro kanisa la Anglikana, Stanley Hotay ikaendelea kupamba tukio
Muda wa kutunuku Vyeti na Zawadi zingine
Muda wa kutunuku Vyeti na Zawadi zingine
Sehemu ya Ndugu Jamaa na Marafiki waliofika katika Mahafali ya 14 ya kidato cha 4 shule ya Sekondary Pasua

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani

EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .