TAMASHA LA UTAMADUNI HANDENI 2013 YAFANYIKA MAMIA WAJITOKEZA

Posted in
No comments
Monday, December 16, 2013 By danielmjema.blogspot.com


Mamia ya wakazi wa wilaya ya Handeni, kutoka katika vijiji vya Kwamsisi,Kwachaga, Kwamkonga, Kwamsala na vijiji vinginevyo wakiandamana kuelekea katika Uwanja wa Azamio ilikofanyika Tamasha la Utamaduni Handeni Mwaka 2013 ilikuwa ni noumaa Sana

Baadhi ya wananchi kutoka katika vijiji mbalimbali vya Wilaya ya Handeni wakiandamana kuelekea katika viwanja vya Azimio, kuhudhuria msimu wa Kwanza wa Tamasha la Utamaduni Handeni Kwetu 2013, Tumethubutu na kufanikiwa tunasonga mbele...
MC-Mtata, Mwani De Omar Nyangasa alifanya yake na kuhakikisha msimu wa kwanza wa Tamasha la Utamaduni Handeni linaenda kama lilivyopangwa, Handeni Hoyeeee
Ukisusa Wenzio wala...Mkuu wa Wilaya ya Handeni Muhingo Rweyemamu "Bosi wangu" akiwasili katika Viwanja vya Azimio kuzindua msimu wa Kwanza wa Tamasha la Utamaduni Handeni, ilikuwa ni mbayaaaaaa kwa akina fulani

Dkt. Khalfani Haula, Mkurugenzi wa Handeni anawasalimu...Hamjambo Handeni!!

huyu ndiye Baba mwenye Nyumba, Mkurugenzi wa Mji wa Handeni, Thomas Mzinga

 OCD wa Handeni alikuwepo

Hawa ni wazee wa Kazi, Azimio Jazz Band....Chezea Mayenuu!!
huyu naye na Mashuka yake kama Maasai...mwanaokalandima, Machenje wa fataki alifanya yake kikwetu kwetu

Mtu Nyomi Sana
Nasema msimu wa kwanza Tamasha la utamaduni Handeni mtu Nyomi sana

Ohoo unashangaa nini sasa?? huu ndio utamaduni wenyeywe kutoka kwamsisi
Twende kazi ni ngoma za asili kwa kwenda mbele, hamna Bongo fleva wala Rhumba.....hatariiiiii
Mzee wa Kijiji...Madini iliyopbaki hapa Handeni kwetu
Funga kibwebwe tusakate sasa

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .