KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YA MKOA WA KILIMANJARO YATEMBELEA KIJIJI CHA RUVU JIUNGENI KILICHOKUMBWA NA MGOGORO WA ARDHI
Posted in
Kilimo Kwanza
,
Matukio
No comments
Thursday, January 30, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Mwenyekiti wa Kijiji cha Ruvu Jiungeni Lepuruka Laize, akifafanua kiini cha mgogoro wa siku nyingi baina ya wakulima na wafugaji katika kijiji, mbele ya kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa. |
Gama akitoa maamuzi ya serikali kuhusu Mgogoro wa siku nyingi kati ya wakulima na wafugaji katika kijiji cha Ruvu Jiungeni, kata ya Ruvu, wilayani Same, Mgogoroulioanza tangu mwaka 1987. |
Mmoja ya wazee wa Jamii ya Wakulima akizungumza mbele ya kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa, iliyotembelea kijiji cha Ruvu Jiungeni, Kata ya Ruvu, wilayani Same, kutoa ufumbuzi wa mgogoro huo. |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :