MWANDISHI WA HABARI LEO KILIMANJARO, ARONLD SWAI, aMWENYEKITI MPYA UVCCM WILAYA YA HAI
Posted in
No comments
Monday, January 27, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Arnold Swai (wa kwanza kushoto)wakati wa upigaji kura, zoezi lilofanyika juzi, wilayani Hai kuziba pengo la nafasi ya Mwenyekiti |
Mjumbe wa Halmshauri kuu CCM wilaya ya Hai, Fuya Kimbita, akizungumza katika zoezi la kupiga kura lililoshuhudia Mwandishi wa Habari Leo, Arnold Swai akiibuka kidedea. |
Arnold Swai akihutubia baada ya kutangazwa Mwenyekiti Mpya kwa kushinda uchaguzi uliofanyika juzi. Swai alipata kura 151 kati ya kura 222 zilizopigwa |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :