REAL MADRID KLABU TAJIRI KWA MWAKA WA 9 MFULULIZO
Posted in
No comments
Thursday, January 23, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Kwa mara ya kwanza klabu ya Manchester United ambayo kwa sasa imekabiliwa na msururu wa matokea mabaya katika ligi kuu ya Premier ya England, imeshushwa miongoni mwa vilabu tatu tajiri zaidi duniani kwa mara ya kwanza kwa zaidi ya miaka kumi na saba iliyopita.
Waandishi wa habari wanasema kuwa ligi ya vilabu vingi kuzalisha kiasi kikubwa cha fedha, nyingi ya vilabu hivyo vinaendelea kupata hasara kubwa kutokana na gharama za mishahara na malipo ya usajili wa wachezaji.
DELOITTE MONEY LEAGUE - THE TOP 10 | |
CLUB 1. Real Madrid 2. Barcelona 3. Bayern Munich 4. Manchester Utd 5. Paris Saint-Germain 6. Manchester City 7. Chelsea 8. Arsenal 9. Juventus 10. AC Milan |
12-13 REVENUE £444.7m £413.6m £369.6m £363.2m £341.8m £271m £260m £243.6m £233.5m £225.8m |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :