NMB WALIVYOPAMBA MKUTANO MKUU WA MAAFISA WA JESHI LA POLISI NCHINI

No comments
Saturday, February 22, 2014 By danielmjema.blogspot.com

Banda la NMB katika mkutano mkuu wa maafisa wa polisi uliofanyika mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro katika chuo cha taaluma ya Polisi Moshi (MPA), kuanzia Februari 17 hadi Februari 22. mkutano huo ulidhaminiwa na benki ya NMB.
Meneja wa Benki ya NMb tawi la Nelson Mandela Moshi, pamoja na maafisa wengine wa Benki hiyo kutoka makao makuu wakisikiliza kwa Makini mada zilizokuwa zkiwasilishwa katika mkutano huo.
Maafisa wa NMB katika banda lao katika viwanja vya chuo cha MPA.
banda la NMB
Meneja huduma wateja binafsi wa NMB, Susan Shumo, akipata mawili matatu kutoka kwa baadhi ya maafisa wa benki hiyo na wahudumu katika banda la NMB kwenye mkutano wa Maafisa wakuu wa Jeshi la Polisi lililofanyika mjini Moshi kuanzia Februari 17-22, chini ya udhamini wa NMB.
Kaimu Mkurugenzi wa NMB, Tom Borghols (wa kwanza kulia), katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Benki hiyo kutoka Moshi na Makao makuu, baada ya kumaliza kuwasilisha mada katika mkutano mkuu wa maafisa wakuu wa Polisi
Meneja huduma wateja Binafsi, Susan Shumo na Meneja Mauzo, Josephine Kulwa, wote kutoka Makao makuu wakisikiliza kwa makini uwasilishwaji wa mada ya NMB kutoka kwa Abdulmajid Nsekela, katika mkutano mkuu wa maafisa wakuu wa Polisi nchini.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .