By
danielmjema.blogspot.com
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Nkoarisambu iliyopo wilayani Meru
mkoani Arusha ambayo imejengewa madarasa mawili kwa ushirikiano wa
wananchi na TANAPA.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjnm3xlifOMWjPp6Yg5FizXBzsgoe0nM6i86E2qRqYhIcFpCGOMDOT3cOyI3Ecxi2xW34ojTgV22mRCdu1n_dLuoRaF9ppO4shBM60ZZRsVd3iIWO8jzRErygAThKYsWJMX7LJAoAT40ek/s1600/IMG_5444.JPG) |
Mwenyekiti wa kamati ya ardhi,maliasili na mazingira ,Mh James Lembeli
akiongoza ujumbe wake kusalimiana na wanachi wa kata ya Nkoarisambu
katika wilaya ya Meru mkoani Arusha ambako kamati hiyo ilitembelea
shule ya sekondari Nkoarisambu kuzindua majengo mawili ya madarasa. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgs_stsfIvquoWhDdH_dnLk1f724zvsRZj89KCE8laWbI-VZMhlmwg2KfQvcoH-aWaXA0xd0RZHkKbm8-NqjlxgZZlabTG3o5e9F930Q2LjlihaAw-w2g_ZGJF5QMlD1Zdsfz6CjcMGuUQ/s1600/IMG_5458.JPG) |
Naibu waziri wa ardhi,maliasili na mazingira,Mahamud Mgimwa akiteta
jambo na Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar kabla ya
uzinduzi wa madarasa yaliyojengwa kwa mchango wa wananchi na TANAPA.
|
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgkWNXU72-5J3Y0iWARxBcjpjuoaOV6U-iDbqezljMSjxvvAtoewvtHudgd9UOG9_XvW6uSV3flmDRNYm5ll5z6ktRlAf2_RQQZg7Jdksi644wuCZALYBzJ1LtY7s7Aoaj7wDfdTGo7Rc8/s1600/IMG_5469.JPG) |
Mwenyekiti wa kamati ya ardhi,maliasili na mazingira,Mh James Lembeli
akijaribu kubadilishana mawazo na naibu waziri wa maliasili na
utalii,Mahamud Mgimwa pamoja na mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki
Mh Joshua Nassar.
|
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhbcqXpomP1By-WJu15_gIp0n26bcWvyDgmRPnX_kFLSSW9Os7iFVmoa068s51ChgcxEV0yJ4Gfi58cg6t5BvTkRsumhcPEyYtVkZAtSGjEHzldVCpOZrM4-AkUUTKvMhAIedOlPX7PmYA/s1600/IMG_5482.JPG) |
Mkuu wa mkoa wa Arusha Magesa Mwilongo akizungumza wakati wa uzinduzi
wa madarasa mawili yaliyojengwa kwa msaada wa Nguvu ya wananchi wa
Arumeru na shirika la hifadhi ya taifa ,TANAPA. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjFMkHaGHE5wQxJJpvC7mgf9eGz_XuXuGjV6TtyBx7cMhgZcU2XNQ-mE24jzkmbTTL_FJE80jsjcbvj2R-ES-kFOYAi4veDpxPHE05dvHsp6rHpujhW7mvqdhq06Z8ot7nI5weWsZXmYMM/s1600/IMG_5486.JPG) |
Mwenyekiti wa kamati ya ardhi,maliasili na mazingira,Mh James Lembeli
akiwasalimia wananchi wa Arumeru wakati wa uzinduzi wa wa madarasa
mawili yaliyojengwa kwa msaada wa Nguvu ya wananchi wa Arumeru na
shirika la hifadhi ya taifa ,TANAPA. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjXfvQBpMkYgcnjsObiq1z-nNZbG6bbK-LFJ8IgTT8qQ_9XFJBCE2ymCeQa8dtlwV2khTFQGmvVrHum8RUnvlLL1SHZs4te3z8c0gD2LDA0oEy7DfgryCsIAMuNCDjtnD44GiLkYb46r1k/s1600/IMG_5491.JPG) |
Jengo lenye madarasa mawili ambalo limejengwa kwa nguvu ya wananchi wa
Arumeru pamoja na shirika la hifadhi ya taifa TANAPA katika shule ya
sekondari Nkoarisambu. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhZmec29xH0UR0VIjp88AHP5CdSI-SpkUSxesTp9tFcw0UYX5QelNtfjoVImlOIMcPtGRCpvrkCHO2RmnavPseE8jq6ijwCSjjt1K_m9q3rjPIyvvIpBcwu_oTuPqZkM2RUadcSXiZVaLQ/s1600/IMG_5496.JPG) |
Naibu waziri wa maliasili na utalii,Mahamud Mgimwa akizungumza katika
uzinduzi wa madarasa mawili ykatika shule ya sekondari ya Nkoarisambu
wilayani Arumeru. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgztJ-nIBu7IFOwkZGWX4NJqxBVynSZlR5eucIrIaHpT55L83_yJKO7irXJjXwk2pu257APabegyNIbDupSj0T1KLDatZK57OPcYMw3Eo-vkGMH4OSW7zAxWGiD6gxJRsa_XjG0NPeXXRk/s1600/IMG_5504.JPG) |
Mkurugenzi mkuu wa shirika la hifadhi ya taifa TANAPA,Allan Kijazi
akitoa taarifa ya kukabidhi mradi wa ujenzi wa madarasa mawili ,shule
ya sekondari Nkoarisambu wilayani Arumeru. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEitm1j3rHJwxf8WK10a9mvCvVGRh-VQ-LaBts_k_7U0C3ggSp1Sh42FtPquDCvSdtqXzdfYW8oVCNSsFMD_CNlLrkMdvx-S-NQd7GkPN8VmOeeeYSm5pVCAyAbpyxTmAjhFO00_6lERxUI/s1600/IMG_5517.JPG) |
Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi,maliasili na mazingira Mh James Lembeli
akizindua mradi wa ujenzi wa madarasa mawili ,shule ya sekondari
Nkoarisambu wilayani Arumeru,ujenzi ulifanywa kwa msaada wa shirika la
hifadhi ya taifa(TANAPA)na wananchi wa Arumeru. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgyL_87nChljLYxPoT-Y_PUd9YGW0RLjb6tWkxcU1L9BhDoZGy_lUvWecfS3-P8QklhQ-lShb6QF1ymqOLktI4PURKfSN9aO6oidr2DLZjR_r_dN8RRZaTvzm6AJ5PwfwAAsp5qJSAX7I8/s1600/IMG_5520.JPG) |
Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi,maliasili na mazingira Mh James Lembeli
akizindua mradi wa ujenzi wa madarasa mawili ,shule ya sekondari
Nkoarisambu wilayani Arumeru,ujenzi ulifanywa kwa msaada wa shirika la
hifadhi ya taifa(TANAPA)na wananchi wa Arumeru. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjEsfHKBMVft1JiclcBtPKoa8cO1HGmhAkblhV9Wpl4_c0ucA5chF3l6D2pFcDiiqqFeN8FGjyCzDqiM2qy5FuD7yk3zzMXp9fNjHugQAKMQUDMhSgh7yODVJmDAXpsPp-gZaFKVMR4zjA/s1600/IMG_5565.JPG) |
Mbunge wa jimbo la Arumeru mashariki Mh Joshua Nassar akizungumza
jambo na mwenyekiti wa kamati ya ardhi,maliasili na mazingira Mh James
Lembeli,kulia kwake ni mjumbe wa kamati hiyo Mh Henry Shekiff. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgav6NSsGqwd60w-LhI60AkxgYxs_f078cTbeMiF7Yqu-qkBYAwlUzzoSWIio64Pb-_9yOSNLmNW7RJ159RAqgicsqrSYTAsX2kDfMOTt8bbZ0zwezgEe7HSmeC1yoDdjc9O-mATcXtEHU/s1600/IMG_5580.JPG) |
Mbunge wa jimbo la Arumeru mashariki Mh Joshua Nassari akizingumza
wakati wa uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa madarasa mawili ,shule ya
sekondari Nkoarisambu wilayani Arumeru,ujenzi ulifanywa kwa msaada wa
shirika la hifadhi ya taifa(TANAPA)na wananchi wa Arumeru. |
0 MAOINI :