RAIS KIKWETE; LOWASSA WAONGOZA MAZISHI YA BALOZI KAZAURA

Posted in ,
No comments
Monday, March 3, 2014 By danielmjema.blogspot.com

 Rais Dr Jakaya KIkwete, pamoja waziri mkuu mstaafu an mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa na viongozi wengine katika mazishi ya balozi Fulgence Kazaura  huko Misenyi Kagera
Waziri mkuu mstaafu Mh Edward Lowassa akisalimiana na mkuu wa zamani wa Chuo kikuu cha dar es salaam balozi Nicolaus Kuhanga huku Makamu mkuu wa Chuo hicho hivi sasa Profesa Rwekaza Mukandala(katikati) akisikiliza,wakati wa mazishi ya mkuu wa Chuo hicho balozi Fulgence Kazaura.
 Lowassa akimfariji mjane wa marehemu.
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu balozi Fulgence Kazaura kabla ya kuzikwa kijijini Mganda wilaya ya Misenyi Mkoani Kagera jana Jumamosi

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .