UCHAGUZI MDOGO UBUNGE JIMBO LA KALENGA; GODFREY MGIMWA WA CCM AZIDI KUTESA
Posted in
Siasa
No comments
Monday, March 3, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Mwigulu Nchemba akiongoza msafara wa mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa aliyebebwa walipowasili kwenye mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Mangalali. |
Mgimwa
akiungana na wanakijiji kucheza ngoma ya asili ya kabila la Wahehe
alipowasili kwenye mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Kibebe, Kata ya
Ulanda mchana leo.
|
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Iringa, Aloyce Mgongolwa akisikiliza kwa makini wakati Nchemba akihutubia katika mkutano huo wa kampeni katika Kijiji cha Kibebe. |
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, Joyce Msambatavangu akimnadi mgombea ubunge Jimbo la Kalenga, Mgimwa.
Aliyewahi
kuwa Mgombea ubunge Jimbo la Mbozi Mashariki kupitia Chadema, na Ofisa
wa Chadema Makao Makuu, Mwampamba akielezea jinsi alivyoamua kujiondoa
kwenye chama hicho bhaada ya kufanyiwa mabaya na uongozi wa Chadema
ambacho alidai hakifai wananchi kujiunga nacho.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :