KATIBA YA CHAMA MRIJO IMEZINDULIWA RASMI MJINI DODOMA
No comments
Wednesday, April 2, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Mhariri wa Gazeti la Mtanzania Jumamosi, Khamis Mkotya, mwenye shati la Kitenge, akishiriki kikamilifu kuzindua Katiba ya Chama Cha Watu Mrijo wilayanai Chemba, mkoani Dodoma, wanaoishi jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Katibu wa Chama hicho, Yasin Kimwaga.
Khamis Mkotya katikati, wakati kushoto kwake ni Shaaban
Ng’oka na kulia ni Katibu, Yassin Kimwaga.
Khamis Mkotya katikati akizungumza katika uzinduzi wa Katiba hiyo kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wa Chemba.
Tunahitaji maendeleo kwa mtu mmoja mmoja na kwa wale wanaoungana kama watu wa Mrijo. Ndivyo anavyoonekana kusema Khamis Mkotya alipokuwa akizungumza katika uzinduzi wa Katiba ya Chama cha Watu wa Mrijo Wilaya ya Chemba
wanaoishi Dar es Salaam juzi, akiwa kama mgeni rasmi. Kushoto ni Mwenyekiti wa chama hicho, Shaaban
Ng’oka na kulia ni Katibu, Yassin Kimwaga.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :