HABARI GUMZO: OSAMA ALIACHA DOLA MILIONI 29 KUFADHILI JIHAD
Posted in
Habari na Jicho Pevu la Kijiwe
No comments
Tuesday, March 1, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Kiongozi wa kidini wa mtandao wa
kigaidi wa Al Qaeda Osama Bin Laden aliacha urathi wa dola milioni 29
kufadhili Jihad alipouawa mwaka 2011.
Mali yake na wasia wake ni miongoni mwa maelfu ya stakabadhi muhimu zilizofichuliwa hii leo na maafisa wa Marekani. Aidha Bin Laden alimtaka babake amtunzie mke na wanawe endapo ataaga dunia.
Kiongozi huyo wa mtandao wa kijihad wa Al Qaeda aliuawa na majeshi ya Marekani mwaka wa 2011 katika shambulizi la kufumania lililotekelezwa ndani ya Pakistan.
Source: BBC Swahili.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :