MAPINDUZI MAKUBWA YAFANYIKA KATIKA BIASHARA YA MTANDAO TANZANIA
Posted in
Biashara
,
Teknolojia
No comments
Thursday, April 17, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Kwa mara nyingine napenda kuwashirikisha mtandao wa kitanzania ulio na
nia ya kuwakomboa wafanyabiashara wadogo,wa kati na wakubwa katika
kuwafikia wateja wao kwa ukaribu zaidi. Pia kupitia mtandao huu utaweza
kutangaza chochote unachopenda umma ujue kwani tumethibitika Kuwafikia watanzania wengi kwa siku pia hata watembeleaji wengi zaidi
toka nchi za nje.
Timu ya
KAJO ITECH Kwa umakini mkubwa itaendesha mtandao huu wa CHOCHOTE pia
kufanikisha kuwa ndio suluhisho kwa watanzania wengi kupata chochote
wanachotaka kwa wakati iwe ni AJIRA,NYUMBA,VIFAA VYA
UMEME,SCHOLARSHIP,VIFAA VYA UREMBO ,VIWANJA,FURNITURE,SIMU ,MAGARI
,VIFAA VYA NYUMBANI NA VINGINE VINGI.
ILI KUFAIDI HAYA YOTE uanchotakiwa kufanya ni kutembelea website hii link;www.chochote.co.tz na utaweza kufungua akaunti yako na kuanza kuweka
matangazo yako BUREE KABISA kwa chochote unachotakiwa kuuza au kununua.
pia like facebook yetu ambayo ni https://www.facebook.com/chochotetz
KWA MAELEZO ZAIDI piga simu no;0712579102 au tuma email;info.chochote.co.tz
WEBSITE www.chochote.co.tz
facebook page;https://www.facebook.com/chochotetz
MARKETING DIRECTOR
KAJO ITECH
Habari Zingine
- Cheki viatu vinavyotumia bluetooth kukuelekeza popote uendako
- Hizi ndio Treni mbili za kifahari zinazotengenezwa, nchini Japan, kuanza kutumika May 2017
- Simu ya Roboti yaziduliwa leo
- Uswisi kuzindua Reli ndefu zaidi Duniani inayopita 'underground' imejengwa kwa miaka 17
- China yatengeneza mabasi yanayopita juu ya magari mengine (tizama Video)
- Tigo yakabidhi Kompyuta na Printa kwa Jeshi la Polisi Mwanza, Tanzania
- Microsoft kuinunua Linkedin kwa Dola Bilioni 26.2
- BODI YA FILAMU NCHINI KENYA YAISHINIKIZA Coca Cola KUFUTA TANGAZO
- KUTOKA KIJIWENI: ILI UFANIKIWE ACHA KUFANYA HAYA
- TANZANIA: RC DAR ES SALAAM, SAID MECK SADIKI AZINDUA DUKA LA HUAWEI JIJINI DAR ES SALAAM
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :