MATUKIO MCHEZO WA YANGA NA PANONE FC
No comments
Thursday, April 17, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
| Baadhi ya wafanyabiashara walitumia fursa ya ujio wa Yanga mkoani Kilimanjaro kuuza jezi za timu hiyo pamoja na Simba. |
| Maelfu ya mashabiki wa mchezo wa soka walifurika uwanjani kushuhudia pambano hilo. |
| Basi la Yanga likiwasili katika uwanja wa Ushirika . |
| Kocha mkuu wa Yanga Hans van der Pluym akishuka kwenye basi. |
| Kocha wa makipa wa Yanga Juma Pondamali akiingia uwanjani hapo. |
| Golipkipa wa timu ya Yanga Deogratius Munishi'Dida'akishuka toka kwenye basi lao. |
| Mchezaji Nizar Khalfan akishuka. |
| Mchezaji Didier Kavumbagu. |
| Mbuyi Twite pia akashuka toka kweney basi. |
| Canavaro na Kelvin Yondani nao wakateremka. |
| Mchezaji Reliant Lusajo akashuka na kumkumbuka afande Pattie wakapeana kono. |
| Nizar Khalifan. |
| Akashuka Chumvi,Frank Domayo. |
| Baadae Jerryson Tegete. |
| Kisha winga machachari Mrisho Ngasa. |
| Mshabiki wakaomba angalau wapate kumbukumbu katika simu zao. |
| Benchi la ufundi la timu ya Panone fc likiongozwa na kocha Atuga Manyundo. |
| Benchi la ufundi la timu ya Yanga likiongozwa na kocha Hans van der plujim na Boniface Mkwasa(Master). |
| Wachezaji wa Panone fc. |
| Wachezaji wa Yanga. |
| Yanga. |
| Waaamuzi wa pambano hilo wakiongozwa na mwamuzi wa kati Vitalis Alfred |
| Mwamuzi Vitalis Alfred akisalimiana na mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama na kumkaribisha kusalimiana na wachezaji wa Panone fc na Yanga. |
| Mkuu wa Mkoa ,Gama akisalimiana na mwamuzi msaidizi Ramadhan Mnyone. |
| Mkuu wa mkoa ,Gama akisalimiana na mwamuzi wa akiba ,Masawe, |
| Mkuu wa mkoa ,Gama akisalimiana na wachezaji wa Panone fc. |
| Mkuu wa mkoa Gama akisalimiana na wachezaji wa Yanga. |
| Viongozi wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro wakiongozwa na mwenyekiti wake Gudluck Mushi na katibu wake Mohamed Musa wakisalimiana na wachezaji wa Yanga. |
| Mawaidha kabla ya kuanza ka mchezo . |
| Wachezaji wakipeana mikono . |
| Nahodha wa Yanga Nadir Haroub"Canavarho" akiteta jambo na nahodha wa Panone fc Juma Mgunya mbele ya waamuzi wa chezo huo. |
| Waamuzi na manahodha wakila pozi la picha ya pamoja . |
| Kikosi cha Panone fc. |
| Kikosi cha Yanga. |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako

0 MAOINI :