By
danielmjema.blogspot.com
 |
Mgeni rasmi katika pambano hilo mkuu wa mkoa
wa Kilimanjaro Leonidas Gama akisalimiana na viongozi wa Yanga mara
baada ya kuwasili uwanjani hapo. |
 |
Baadhi ya viongozi wa Yanga walimkumbuka
Gama wakati huo akiwa mkuu wa wilaya ya Ilala ambako katika kipindi
chake Yanga ilichukua Ubingwa. |
 |
Mashabiki wa soka wakiwa wamefurika katika
uwanja wa Ushirika. |
 |
Baadhi ya viongozi wa Yanga na Chama cha
soka mkoa wa Kilimanjaro wakiteta jambo. |
 |
Mama Yanga pia alikuwepo sanjari na
mashabiki wengine wa Yanga. |
 |
Mashabiki pekee wa timu ya Panone pia
walikuwa uwanjani hapo. |
 |
Panone fc wakipasha misuli
moto. |
 |
Yanga wakipasha misuli
moto. |
0 MAOINI :