BIRTHDAY YA SHY ROSE BHANJI NI BALAA
Posted in
Matukio
No comments
Monday, May 5, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Mbunge
wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy Rose Bhanji katikati akipokea keki
kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki zake wakati wa tafrija maalum ya
kumpongeza baada ya kutimiza miaka yake kadhaa katika ulimwengu huu Mei
3, 2014. Tafrija hiyo ilifanyika nyumbani kwake Bweni Dar es Salaam.
(Photos by: MD Digital Company +255 755 373999).
Birthday Girl! Shy-Rose akikata akijiandaa kukata keki...
Marafiki
zake wa karibu ambao pia ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Ester Bulaya (kushoto) na Halima Mdee wakimlisha keki kwa
pamoja Shy-Rose.
Shy-Rose nae aliwalisha marafiki zake ambao ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Ester Bulaya (kushoto) na Halima Mdee
Shy-Rose pia alilishwa keki na ndugu zake.
Alipokea zawadi kutoka kwa ndugu
Keki zilendelea
Shy-Rose akila pozi na keki aliyozawadiwa na mmoja wa marafiki zake.
Shy-Rose
Bhanji a.ak.a Mbunge wa Afrika Mashariki akila pozi na marafiki zake
Halima Mdee a.k.a Mbunge wa Mujini na Ester Bulaya a.k.a Mbunge wa
Kijijini .....ndivyo utani wao ulivyokuwa wakitaniana.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :