MASHINDANO YA WABUNGE AFRIKA MASHARIKI YAFANA ARUSHA

No comments
Monday, December 8, 2014 By danielmjema.blogspot.com


SAM_0493
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akifurahia ushindi baada ya kushinda nafasi ya kwanza kupeperusha vema bendera ya Tanzania baada ya kuibuka mshindi  mbio za mita 100 akifuatiwa na Isaac Melley wa Kenya na Tom Aza wa Uganda aliyeshika nafasi ya tatu.
SAM_0514
Wabunge wa Tanzania Halima Mdee na Ester Matiko waliendeleza ubabe wa bunge la Tanzania dhidi ya wenzao baada ya kushika nafasi ya kwanza na pili katika mbio za mita 1,500 na kuwaacha wenzao kutoka Uganda, Kiiza Winfred na Kangi Elizabeth wakishikilia nafasi za tatu na nne.
SAM_0498Mbunge Ester Matiko wa Tanzania  akijiandaa kukimbia mbio za mita 400,ambapoaliwatimulia vumbi wabunge wenzake kutoka Kenya, Uganda na bunge la Afrika Mashariki (Eala).
SAM_0469
Kaimu Spika wa bunge la EALA Chris Opoka akizungumza katika ufunguzi wa mashindano hayo
SAM_0470
Mkuu wa wilaya Arumeru Mhe Nyirembe Munasa afungua mashindano ya michezo kwa wabunge ambapo aliwataka wachezaji kuacha kuamini imani za kishirikina na badala yake wamtegemee Mungu kwani michezo ni kazi kama ajira nyingineSAM_0464
Wabunge wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania wakifwatilia ufunguzi rasmi wa bonanza la mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kulia ni kiongozi wa timu ya bunge la Tanzania Idd Azan katikati ni Mh.mbunge Stevin Ngonyani a.k.a Maji marefu
SAM_0440SAM_0452
SAM_0495Mkurugenzi wa KeyMedia Agency Limited Bi Anna Lazaro akiwa na wabunge wa Tanzania leo jijini Arusha katika mashindano ya michezo mbalimbali yaliyoandaliwa na EALA(East African Legislative Assembly)
SAM_0508Katikati Mkurugenzi wa KeyMedia Agency Limited Bi Barbra Lazaro akiwa na wabunge wa Tanzania leo jijini Arusha katika mashindano ya michezo mbalimbali yaliyoandaliwa na EALA(East African Legislative Assembly)
SAM_0559Aliyevalia t-shart ya njano ni designer mkuu wa kampuni ya KeyMedia Agency Limited Bahati Masawe akiwa na waheshimiwa Wabunge
SAM_0553
Mbunge wa EALA kutoka nchini Tanzania Mh.Twaha Taslama akiwa anavuta kamba wakati wa mashindano ya hayo
SAM_0489Mbunge wa Kenya akiwa amebebwa juju baada ya kushinda katika mbio za mita 100
SAM_0494Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mkoa wa Mara, Ester Bulaya akiwa anashangilia kwa furaha katika mashindano hayo

SAM_0472SAM_0481SAM_0543

Spika wa bunge la EALA Dk.Margaret Zziwa akiwa anawapa maelekezo wabunge wake

SAM_0540SAM_0488Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EAC), Shyrose Bhanji akiwa anatimua vumbi katika mashindano hayo
SAM_0485Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EAC), Shyrose Bhanji akiwa na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari
SAM_0532Mtangazaji wa Redio 5 David Rwenyagira kushoto akiwa na Abdalah Ibrahim amabo walikuwa ma MC wa shughuli hiyo

SAM_0531SAM_0525 SAM_0456 SAM_0428Waandishi wa habari wakiwa katika picha ya pamoja na wakurugenzi wa  KeyMedia Agency Limited Bi Barbra Lazaro
SAM_0457Kushoto ni Mkurugenzi wa kampuni ya KeyMedia Agency Limited Bi.Barbra Lazaro Keiya akiwa na Mwandishi mwandamizi Swaleh Mdoe wa gazeti la the citizen kutoka Kenya katika Uwanja Sheikh Amri Abeid  jijini Arusha
SAM_0490 SAM_0462
Wabunge wa Tanzania wakiwa wanafatilia mashindano

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .