By
danielmjema.blogspot.com
|
Mkurugenzi wa
mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi(MUWSA)Mhandisi
Cyprian Luhemeja akizungumza katika sherehe ya wajumbe wa bodi na
wafanyakazi wa mamlaka hiyo. |
|
Mjumbe wa bodi
ya wakurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini
Moshi,Hajira Mmambe akizungumza na wafanyakazi wa mamlaka hiyo (Hawako
pichani) |
|
Mjumbe wa bodi
ya wakurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa
mazingira mjini Moshi,Elizabeth Minde akizungumza na wafanyakazi wa
mamlaka hiyo (Hawako pichani) |
|
Mjumbe wa bodi
ya wakurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa
mazingira mjini Moshi,Boniface Maliki akizungumza na wafanyakazi wa
mamlaka hiyo (Hawako pichani) |
|
Mjumbe wa bodi
ya wakurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa
mazingira mjini Moshi, Mhandisi wa Maji mkoa wa Kilimanjaro, Frank Shayo akizungumza na wafanyakazi wa
mamlaka hiyo (Hawako pichani) |
|
Mjumbe wa bodi
ya wakurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa
mazingira mjini Moshi,Alfred Shayo akizungumza na wafanyakazi wa
mamlaka hiyo (Hawako pichani) |
|
Katibu wa bodi
hiyo ambaye pia ni mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa
mazingira mjini Moshi,Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza jambo
kabla ya kumkaribisha mwenyekiti wa bodi hiyo kuzungumza na
wafanyakazi. |
|
Mwenyekiti wa
bodi ya wakurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira
mjini Moshi ,Shally Raymond akionesha kikombe cha mshindi wa tatu kwa
watoa huduma katika manispaa ya Moshi . |
|
Wafanyakazi wa
mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,wakifuatilia
hotuba ya viongozi huku wakigonga vyombo. |
|
Mwenyekiti wa
bodi ya wakurugenzi akatoa zawadi kwa wafanyakazi walioitumikia
mamlaka hiyo kwa kipindi cha muda mrefu. |
|
Baadae yakaanza
mashindano ya kwaito wajumbe wa bodi wakatoana jasho hapa. |
|
Likapatikana
kundi la waliocheza vyema ,kisha likashindanishwa . |
|
Wengine
wakaonesha umahiri pia wakucheza kadanse. |
|
Wale wa 'Chini
chini chini chini! nao wakaoneshana staili tofauti tofauti. |
|
Wakapatikana
washindi wakakabidhiwa zawadi zao. |
|
Miongoni mwao
walikuwemo wajumbe wa Bodi ,Hajira Mmambe(picha ya juu)na mwenyekiti
wa bodi Shally Raymond wote wakapata zawadi. |
|
Ukafika wakati
wa kufungua Shampagne. |
|
Wakagonga
Cheers na menejimenti ya MUWSA. |
|
Baadae
likapigwa lile lisilo na mwenyewe,hapo hakuna mjumbe wa bodi wala
mkurugenzi wote ndani. |
0 MAOINI :