VETA MAKETE WATEMBELEA WATOTO YATIMA NA KUTOA MISAADA MBALIMBALI
Posted in
Matukio
No comments
Monday, May 5, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Wafanyakazi wa VETA Makete wakiwa katika picha na watoto yatima wa kituo cha Bulongwa.
Mfanyakazi wa VETA Makete akiwa amembeba mtoto yatima anayelelewa kituoni hapo
Sanga akiwa amembeba mtoto yatima anayelelewa katika kituo cha Bulongwa
Wakifurahia pamoja na watoto hao kwa kuimba nyombo.
Wakiwa katika picha ya pamoja nje ya kituo hicho.
Methew Komba akiwa amembeba mtoto yatima
watoto wakifurahia kutembelewa na wafanyakazi wa VETA Makete.
Hapa mmoja wa wafanyakazi wa VETA Makete akicheza na watoto hao.Na Edwin Moshi, Makete
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :