DKT. JOHN MAGUFULI AONGOZA ZOEZI LA KUAPISHA WAHANDISI
Posted in
Matukio
No comments
Sunday, May 25, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Naibu
Waziri wa Ujenzi, Mhe. Eng. Gerson Lwenge akiapishwa. Pichani kutoka.
kushoto, Msajili wa Bodi ya Makandarasi Eng.Steven D.M.Mlote,Mwenyekiti
wa Makandarasi,Eng.Pfrof.Ninatubu Lema,Waziri wa Ujenzi Mhe.John
Magufuli ,Hakimu Mkazi Mhe.Verynice Kawishe na Wakili Mkuu wa Serikali
(PSA) Mhe.Donald L.Chidowu.
Naibu Waziri wa Uchukuzi,Mhe. Eng.Dkt.Charles Tizeba akipongezwa na Mhe. Dkt John Magufuli mara baada ya kuapishwa.
Wahandisi
viongozi wakiwa katika picha ya pamoja na Hakimu Mkazi Mhe.Verynice
Kawishe wakati akiapisha Wahandisi 120 kwa pamoja.
Wahandisi wakiwa wanaapa kwa pamoja.
Wahandisi wakiwa wanaapa kwa pamoja.
Wahandisi
wakiwa katika picha ya Pamoja kwa makundi manne tofauti mara baada ya
kula kiapo cha uaminifu katika kazi yao ya Uhandisi.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :