TASWIRA MBALIMBALI ZA MAZISHI YA PRIVATE BRIAN SALVA RWEYEMAMU

Posted in ,
No comments
Sunday, May 18, 2014 By danielmjema.blogspot.com

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam jioni ya leo kuhudhuria mazishi ya Private Brian Salva Ryweyemamu akiwa ameongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadik na Meja Jenerali Hassan Vuai Chema
  Sehemu ya waombolezaji 
 Sehemu ya waombolezaji 
  Sehemu ya waombolezaji 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam jioni ya leo kwenye mazishi ya Private Brian Salva Ryweyemamu. Kushoto ni Katibu Kiongozi Balozi Ombeni Sefua, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadik na Meja Jenerali Hassan Vuai Chema
 Katekista aikongoza sala ya mazishi
  Sehemu ya waombolezaji 
  Sehemu ya waombolezaji 
 Jeneza likiwa kaburini
 Wazazi wa marehemu 
 Askari wa JWTZ wakishusha kaburini mwili wa mpiganaji mwenzao 
  Sehemu ya waombolezaji 
 Mama Isabella Salva Rweyemamu akiweka udongo kaburini
 Baba Salva Rweyemamu akiweka udongo kaburini
 Rais Kikwete akiweka udongo kaburini
 Mama Salma Kikwete akiweka udongo kaburini
 Dada wa marehemu akiweka udongo
 Dada wa marehemu akiweka udongo
Majonzi ya kupoteza mpendwa
Wanafamilia wakiweka udongo
Waombolezaji wakisogea kuweka udongo kaburini
Waombolezaji wakiweka udongo kaburini
Meja Jenerali 
Salva akipitia ratiba na wasifu wa Brian
  Wanafamilia


Gwaride Maalumu likijiandaa kufanya zoezi la kuaga mwenzao kijeshi








Last Post 
"Fyatuaaaaaa....."
Risala ya askari wenzie marehemu
Wazazi wakipokea risala
MC akiandaa waombolezaji kwa zoezi la kuweka mashada ya maua
Mashada ya maua yaizunguka picha ya marehemu
Waombolezaji
Katekista na msaidizi wake wakiongoza zoezi la kuweka shada la maua
Wazazi na shada maalumu la mtoto wao
Wazazi wakiweka shada lao la maua
Majonzi makubwa
Dada wa marehemu na shada lao maalumu kwa kaka yao
Dada wakiweka shada lao
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiweka mashada yao
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akiweka shada
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiweka shada
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadik  akiweka shada
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe Mwantumu Mahiza akiweka shada
 Mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mhe January Makamba akiweka shada
Mkuu wa Wilaya ya Kiondoni Mhe Jordan Rugimbana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Sophia Mjema wakiweka shada lao
Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mhe Muhingo Rweyemamu na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Raymond Mushi wakiweka shada
Meja Jenerali Hassan Vuai Chema akimuaga kijana wake baada ya kuweka shada la maua
Dkt Reginald Mengi akiweka shada la maua
Wabunge Mhe Richard Ndassa na Mhe Zainabu Vullu wakiweka shada
Katibu wa Rais Bw Prosper Mbena akiweka shada la maua kwa niaba ya wafanyakazi wenzie Bw. Salva Rweyemamu
Majonzi ya mpendwa Bridgety 
Bridgety anashindwa kujizuia
Mjomba na shangazi wa marehemu wakiweka shada lao
Mabibi wa marehemu wakiweka shada
Bibi wa marehemu akiweka shada
Mjomba na shangazi wa marehemu wakisogea kuweka mashada yao
Mama wakubwa wa marehemu
  Nyuso za huzuni za waombolezaji
kinadada wakiweka shada lao
Makaka wakiweka shada
Shada la marafiki wa Salva linawekwa na Rahim Kangezi "Zamunda" na Dkt Shoo
Shada la marafiki wa Salva likiwekwa kaburini
Marafiki wa mama wa marehemu wakiweka shada
Brigedia Jenerali Kimaryo akiwa na shada lake
Brigedia Jenerali  Kimaryo akiweka shada
Kiongozi kutoka kikosi cha Nyumbu akiweka shada
Profesa Janabi na mkewe wakiweka shada
Dada Clara Mbaga akisogea na shada lake
Dada Clara Mbaga akiweka shada
Familia ya Vullu ikiweka shada lao
Premi Kibanga akiweka shada
Wawakilishi toka WAMA wakiweka shada
Jenerali Ulimwengu na Dkt Johnson Mbwambo wakiweka shada

Juma Pinto akiweka shada
Waombolezaji wakiweka mashada ya maua
Makamu Mwenyekiti wa chama cha vilabu vya waandishi wa habari Jane Mihanji na wenzie wakiweka shada
Meja Hassan akiweka shada
Mtani akiweka shada
Msemaji wa familia akitoa neno la shukurani
Sehemu ya marafiki wa karibu wa Salva
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwafariji wafiwa
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwafariji wafiwa
Waombolezaji wakiwa na nyuso za huzuni

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .