CHUO KIKUU CHA IRINGA WAZINDUA TAWI LA WANAFUNZI WANAOSOMA KISWAHILI AFRIKA MASHARIKI, WATAKA KATIBA MPYA KISWAHILI KIPEWE NAFASI
Posted in
Elimu
No comments
Sunday, May 18, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Mgeni rasmi akiandaliwa shimo la kupanda mti wa kumbukumbu |
Mgeni rasmi Bw Kenneth Komba akijiandaa kupanda mti uliopewa jina la Mchawakama |
Bw Komba akiupanda mti huo |
Wana chama wa Chawakama wakirejea ukumbini |
Msanii akiburudisha |
Mwenyekiti wa Chawakama akizungumza machache |
Wanachama wakiwa ukumbini |
Mlezi wa chama cha Chawakama na mwalimu wa kiswahili chuo kikuu cha Iringa Tulla Tweve akitambulisha wageni |
Mmoja kati ya viongozi akieleza malengo ya Chawakama |
Mwalimu Chalamila akieleza maana ya lugha ya kiswahili |
Mwalimu wa kiswahili chuo cha Iringa ambae ni msanii wa wimbo wa Mufindi yetu akiburudisha |
Wanachama wakicheza na msanii huyo |
Viongozi wapya na wazamani wakitambulishwa mbele ya mgeni rasmi |
Keki ya uzinduzi |
Mwalimu Tulla akifurahia keki baada ya kulishwa na mgeni rasmi |
Mwalimu Chalamila aliyekaa akifurahia jambo |
mgeni rasmi Keneth komba wa tano kushoto akiwa na wanachama wa CHAWAKAMA |
Chuo kikuu cha Iringa |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :