AMBASIA MALIY ATWAA TAJI LA MISS TABATA 2014
Posted in
Matukio
,
Ulimbwende
No comments
Saturday, June 7, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akitabasamu baada ya kutangazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata.
Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akipunga mkono kwa mashabiki wake muda mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata, Shindano hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Da'west Park,Tabata jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia jumamosi.Wengine pichani ni Mshindi wa Pili wa shindano hilo, Faudhia Feka (kulia) pamoja na Mshindi wa Tatu, Ramta Mkadara .
Miss Tabata aliemaliza muda wake, Doris Molel (alieketi) akisuburi kutangazwa kwa mrithi wake.
Warembo walioingia hatua ya tano bora katika Shindano la Miss Tabata 2013
Kumi Bora.
Warembo wakitoa burudani
Bendi ya Twanga Pepeta ikitoa burudani kwenye shindano la miss Tabata lililofanyika kwenye usiku wa kuamkia leo
Mshereheshaji akizungumza jambo
Warembo wakiwa wamevaa vazi la ufukweni
Warembo wakitoa burudani
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :