By
danielmjema.blogspot.com
|
Msafara wa magari ukiongozwa na mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro Goodluck Mushi wakipita katika maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi mara baada ya kuwasili wakitokea jijini Mbeya ambako timu hiyo imefanikiwa kupanda ligi daraja la kwanza. |
|
Msafara wa magari ukiongozwa na mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro Goodluck Mushi wakipita katika maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi mara baada ya kuwasili wakitokea jijini Mbeya ambako timu hiyo imefanikiwa kupanda ligi daraja la kwanza. |
|
Msafara wa magari ukiongozwa na mwenyekiti
wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro Goodluck Mushi wakipita katika
maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi mara baada ya kuwasili wakitokea
jijini Mbeya ambako timu hiyo imefanikiwa kupanda ligi daraja la
kwanza.
|
|
Wachezaji wakishuka katika basi la Hood
baada ya kuwasili mjini Moshi.
|
|
Furaha ilikuwa kubwa katika eneo hilo mara
baada ya timu kuwasili. |
|
Kama vile viongozi wa timu hawaamini kuwa
wako katika ardhi ya nyumbani Moshi . |
|
Wachezaji wengine walikuja kupokelewa na
wazazi wao. |
|
Baadhi ya wachezaji wakiwa nje ya jengo la
Posta katikati ya mji wa Moshi walipoteremka mara baada ya kurejea
wakitokea mkoani Mbeya. |
|
Katibu wa chama cha soka mkoa wa
Kilimanjaro (KRFA)Mohamed Musa(mwenye suti) akiteta na viongozi
wengine waliofika katika mapokezi ya timu hiyo akiwemo mwenyekiti wa
chama cha soka wilaya ya Hai,Harold Kifunda(mwenye
begi)
|
|
Meneja wa kampuni ya Panone Ltd kanda ya
kaskazini Gido Marandu akiwa na mwandishi wa habari za Michezo wa
kituo cha radio cha Moshi fm wakibadilishana mawazo katika hafla ya
chakula cha mchana katika mgahawa wa Fresh Coach muda mfupi baada ya
mapokezi.
|
|
Makocha wa timu ya Panone fc ,Jumanne Ntambi
na Atuga Manyundo wakiteta jambo wakati wa chakula cha mchana kwa timu
hiyo katika Mgahawa wa Fresh Coach.
|
|
Wachezaji wa klabu ya Panone fc ya mkoani
Kilimanjaro wakiwa katikaMgahawa wa Fresh Coach wakipata chakula cha
mchana kilichoandaliwa na uongozi wa Kampuni ya Panone
Ltd.
|
0 MAOINI :