JARIDA LA FORBES LIMEMTANGAZA BEYONCE KAMA 'MOST POWERFUL CELEBRITY IN THE WORD' KATI YA MASTAA 100 WALIOKUWA KWENYE LIST YAO
Posted in
Burudani
,
International
No comments
Tuesday, July 1, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Kwa mujibu wa Forbes magazine, Beyonce anashikilia rekodi ya mkwanja mrefu akimfunika hadi mumewe Jay Z na mastaa wengine kama Oprah Winfrey,Rihanna na wengine ambao wako kwenye list chini hapo.Angalia orodha ya mastaa 10 wenye utajiri mkubwa na kiasi walichovuna kutoka mwezi June mwaka 2013 mpaka June 2014 ..
1. Beyonce: $115million
2. LeBron James - $72million,
3. Dr. Dre - $620million
4.Oprah Winfrey- $82million
5. Ellen DeGeneres - $70million
6 .Jay Z - $60million
7. Floyd Mayweather- $105million
8. Rihanna - $48million
9. Katy Perry- $40million
10. Robert Downey Jnr - $75million.
Kati ya mastaa hao 10 walio kwenye orodha kwa mwaka 2014 kama mastaa walio na pesa,7 kati yao ni weusi huku Justin Bieber akishuka kiwango kwa kasi kutoka namba 9 mwaka jana mpaka namba 33 mwaka huu!
1. Beyonce: $115million
2. LeBron James - $72million,
3. Dr. Dre - $620million
4.Oprah Winfrey- $82million
5. Ellen DeGeneres - $70million
6 .Jay Z - $60million
7. Floyd Mayweather- $105million
8. Rihanna - $48million
9. Katy Perry- $40million
10. Robert Downey Jnr - $75million.
Kati ya mastaa hao 10 walio kwenye orodha kwa mwaka 2014 kama mastaa walio na pesa,7 kati yao ni weusi huku Justin Bieber akishuka kiwango kwa kasi kutoka namba 9 mwaka jana mpaka namba 33 mwaka huu!
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :