WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA CHUO CHA UFUNDI GONJA MHEZA WILAYANI SAME.
No comments
Wednesday, July 23, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akiondoa kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa chuo cha Ufundi Gonja-Mheza wilayani Same. |
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria kufungua jengo moja wapo katika chuo cha Ufundi Gonja-Mheza wilayani Same. |
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akiotesha mti katika eneo la ujenzi wa chuo cha Ufundi Gonja-Mheza wilayani Same. |
Mke wa Waziri mkuu,Mama Tunu Pinda akiotesha mti katika eneo la ujenzi wa Chuo cha Ufundi cha Gonja-Mheza wilayani Same. |
Waziri mkuu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania ,Mizengo Pinda akizungumza muda mfupi baada ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa chuo cha Ufundi Gonja Mheza wialayani Same. |
Mbunge wa jimbo la Same Mashariki ,Anne Kilango akizungumza muda mfupi baada ya waziri mkuu Mizengo Pinda kuweka jiwe la Msingi katika Chuo cha ufundi cha Gonja Mheza. |
Wakazi wa kijiji Cha Maore walitoa zawadi ya Upinde na Mishale kwa Waziri mkuu Mizengo Pinda. |
Mke wa Waziri mkuu pia alipataiwa zawadi ya kitenge na Vyakula. |
Baaadhi ya wananchi waliofika katika shughuli hiyo. |
Sehemu ya ujenzi wa Chuo cha ufundi cha Gonja Mheza. |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :