MAKOCHA WA BARCELONA WATOA MAFUNZO KWA MAKOCHA DAR.

Posted in
No comments
Sunday, August 3, 2014 By danielmjema.blogspot.com

Kocha Isaac Guerrero wa FC Barcelona akitoa mafunzo kwa makocha wa ligi kuu na ligi daraja la kwanza jana kwenye uwanja wa Karume jijini Dare salaam ikiwa ni sehemu ya mafuzo hayo ya siku mbili yaliyoandaliwa na Castle Lager kupitia ushirikiano wake na FC Barcelona

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .