JK KATIKA SHEREHE YA KUTUNUKU NISHANI ZA KUMBUKUMBU YA MIAKA 50 YA JWTZ

No comments
Sunday, September 7, 2014 By danielmjema.blogspot.com

 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akiwa na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Wazii wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi, Waziri Mkuu Mstaafu John Samwel Malecela,Waziri Mkuu Mstaafu Edrward Lowassa na Mkuu wa Mkoa wa Arush Mhe Magese Mulongo baada ya kuwasili katika Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Mkoa wa Arusha
 Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, , Waziri Mkuu Mstaafu John Samwel Malecela,Waziri Mkuu Mstaafu Edrward Lowassa, na Mama Hadija Mwinyi
 Viongozi wa dini
 Viongozi wa dini
 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florens Turuka na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George Yambesi na viongozi wengine 
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa tayari kutunuku shahada
 Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akiwa na Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, , Waziri Mkuu Mstaafu John Samwel Malecela,Waziri Mkuu Mstaafu Edrward Lowassa, na Mama Hadija Mwinyi
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ, Mnadhimu Muu wa majeshi  ya Ulinzi nchini, Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba   katika sherehe  za kutunuku nishani zilizofanyika kwenye ukumbi wa   Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa  wa Jeshi Tanzania, Monduli
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Luteni Jenerali Charles Lawrence Mkakala
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ  Meja Jenerali Salum Mustafa Kijuu
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Meja Jenerali Raphael Mugoya Muhuga
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Meja Jenerali Joseph Furaha Kapwani
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Brigedia Jenerali Jackson King Mrema
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Brigedia Jenerali Sara Thomas Rwambali
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Brigedia Jenerali Rogasian Shaaban Laswai
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Brigedia Jenerali Clemence Quadrates Kahama
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Brigedia Jenerali Hamis Issa Majumba
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Brigedia Jenerali Saleh Omar Semtua
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Brigedia Jenerali Ezra Wilson Ndimgwango
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Kanali Mauro Kaburule Mhagama
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Kanali Jacob Gidion Kingu
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Meja Baganchwera Traseas Rutambuka
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Meja Asha Omar Matanza
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Meja Jackson John Kalambo
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Meja Mathias Petro Mnkenyi
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Sajini Maria Daniel Marahu
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Koplo Aziza Said Jalala
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ Koplo Tamasha Hemed Kondo
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Brigedia Jenerali Aaron Robert Lukyaa
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Brigedia Jenerali Joseph Cosmas Chengelela
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Kanali Anthony Solomon Msinday 
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Kanali Justine Marwa Munanka
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Meja Thomas Kassim Kiungo
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Warrant Officer 1 Faustine Madasha Pilula 
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Warrant Officer 1 Yohana Nathaniel Lemanya
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Warrant Officer 1 Jomnas Philipo Mhango
 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Warrant Officer II Nuhu Haji Ame
  Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Warrant Officer II Hezron Donald Swebe
  Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani  ya Operesheni Safisha Msumbiji Warrant Officer II Asante Tuyate Zambi
zoezi la kutunuku Shahada
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wakiwa mguu sawa kwa wimbo wa Taifa
 Majenerali mbalimbali 
 Makamanda wa Jeshi la Magereza
 JWTZ Brass Band ikipiga wimbo wa Taifa
 Makamanda wakipiga saluti wakati wimbo wa Taifa ukipigwa
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na Watunukiwa wote
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na Watunukiwa
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na majanerali
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na Watunukiwa wastaafu na wawakilishi
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na makamanda wastaafu baada ya picha na Watunukiwa 
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na kamati ya maandalizi

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .