NAPE ATOA DARASA KWA VIONGOZI WA CCM UINGEREZA
Posted in
Siasa
No comments
Monday, September 8, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na viongozi wa mashina ya CCM Uingereza ambapo aliwaambia matawi ya CCM nje ya nchi yawe mawakala wa kuleta mabadiliko ndani ya chama pamoja na kuwaunganisha watanzania kujikomboa kiuchumi
Baadhi ya viongozi wa mashina ya CCM Uingereza wakifuatilia mafunzo kutoka kwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye aliyekuwa akitoa somo juu ya Wajibu wa Matawi ya CCM nje ya Nchi.
Viongozi wa mashina wakisikiliza kwa makini
Viongozi wa mashina ya CCM nchini Uingereza wakiandika pointi muhimu.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa mashina ya CCM nchini Uingereza .
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa mashina ya CCM London nchini Uingereza mara baada ya kutoa somo linalohusu Wajibu wa Matawi ya nje ya CCM katika ukumbi wa kituo cha mafunzo Barking,London ya mashariki.
Habari Zingine
- MCHAKATO WA KUMPATA MRITHI WA BAN KI-MOON WAANZA
- LOWASSA ACHANGIAWA FEDHA ZA KUCHUKUA FOMU NA WANA CCM MKOA WA TABORA
- MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO LEONIDAS GAMA AKABIDHIWA MRADI WA UJENZI WA UKUMBI WA CHAKULA ULIOFADHILIWA NA TANAPA
- Katumbi ashitakiwa kwa kuajiri Mamluki
- RAILA AKIFANYA HAYA ATASHINDA URAIS, UCHAGUZI MKUU 2017.
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :