AIRTEL YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA STAILI LEO
Posted in
Biashara
No comments
Monday, October 6, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Wakurugenzi
wote wa Airtel wakiongozwa na mkuu wao Sunil Colaso (kati) wakikata
keki leo wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja
ambapo inaadhimishwa duniani kote kuanzia tareh 6, Airtel imejipanga
kuadhimisha wiki hii kwa kuwashuru wateja wake wote, kuongeza motishaa
kwa watoa huduma wake wote nchini kuendelea kuhudumia wateja, pamoja
na kuhamasisha kila mtoa huduma nchini kufahamu umhimu wa mteja.
Mkurugenzi
mkuu wa Airtel Tanzania Bw Sunil Colaso akiongea na wafanyakazi wote
pamoja na wanahabari leo hii (hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa wiki
ya huduma kwa wateja leo katika makao makuu ya Airtel, Airtel
inaadhimisha wiki hii kwa kuwashuru wateja wake wote, kuongeza motishaa
kwa watoa huduma wake wote nchini kuendelea kuhudumia wateja, pamoja na
kuhamasisha kila mtoa huduma nchini kufahamu umhimu wa mteja.
Mkurugenzi
wa Airtel huduma kwa wateja Bi Adriana Lyamba akiongea na wafanyakazi
wote pamoja na wanahabari (hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa wiki ya
huduma kwa wateja leo katika makao makuu ya Airtel, Airtel inaadhimisha
wiki hii kwa kuwashuru wateja wake wote, kuongeza motishaa kwa watoa
huduma wake wote nchini kuendelea kuhudumia wateja, pamoja na
kuhamasisha kila mtoa huduma nchini kufahamu umhimu wa mteja.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :