PROF. TIBAIJUKA:''NILIPOKEA PESA ZA ESCROW''-BBC

Posted in
No comments
Saturday, November 29, 2014 By danielmjema.blogspot.com

Mjadala kuhusu kashfa ya uchotaji wa mamilioni ya fedha katika akaunti ya ESCROW ya Benki Kuu ya Tanzania umezidi kuunguruma nchini Tanzania kufuatia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, PAC, na ripoti ya serikali kuhusu kashafa hiyo.
Mambo yaliyojitokeza katika ripoti ya PAC ni kutaja majina ya viongozi na maafisa wandamizi wa serikali walionufaika na magao huo.
Miongoni mwao ni waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka ambaye alizungumza na mwandishi wa shirika la la Habari la London- BBC, mjini Dodoma, Ben Mwang'onda ambaye alianza kwa kumuuliza kama kutajwa kwa jina lake hakutendewa haki.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .