'CONDOM' ZATUMIWA NA KUFULIWA TANZANIA-BBC
Posted in
Afya
No comments
Monday, December 1, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Wakati Dunia nzima leo, Desemba mosi, ikiadhimisha siku ya kupambana na maambukizi ya UKIMWI, Nchini Tanzania kuna maeneo machache ambayo baadhi ya watu wake hawana uelewa thabit wa kutumia mipira ya kiume (Condoms) kiasi ambacho mpira mmoja unaweza kutumiwa na vijana watatu hadi wanne kwa kubadilishana baada ya kuusafisha na kuanika juani.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :