KADA WA CCM AKUMBUKA WATOTO YATIMA SIKU YAKE YA KUZALIWA.
No comments
Saturday, December 6, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
| Kada wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro,Olivia Sanare akikabidhi zawadi kwa watoto wa kituo cha Kili Center ikiwa ni sehemu ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa. |
| Kada wa CCM,Olivia Sanare akizungumza na watoto waishio katika mazingira magumu wa kituo cha Kili Center alipotembelea kituo hicho kutoa zawadi kwa watoto wa kituo hicho. |
| Watoto wa kituo cha Kili Center wakimuimba wimbo wa Birthday,kada wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Olivia Sanare aliyevaa kofia. |
| Kada wa CCM ,Olivia akisakata Kwaito na watoto wa kituo cha Kili Center. |
| Watoto wa kituo cha Kili Center wakitoa burudani ya Kuch kuch Hota Hae kwa wageni waliowatembelea kituoni hapo. |
| Kada wa CCM ,Olivia akila chakula pamoja na watoto wa kituo cha Kili Center ikiwa ni sehemu ya kumbukumbu yake ya siku ya kuzaliwa. |
| Olivia akiwa amebeba watoto katika kituo cha Kili Center mara baada ya kuwatembelea na kuwapatia zawadi. |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako

0 MAOINI :