BALOZI DORA MMARI MSECHU AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO DENMARK.
Posted in
International
No comments
Wednesday, February 25, 2015
By
danielmjema.blogspot.com
Balozi wa Tanzania wa nchi za Nordic na Baltic Mhe. Dora Mmari Msechu akiongea na Watanzania waishia Denmark siku ya Jumamosi Februari 21, 2015 siku alipokutana nao kwenye Hafla iliyofanyika Radisson Blue Royal Hotel. Hammarichsgade 1, 1611 Kopenhagen.. |
Balozi wa Tanzania wa nchi za Nordic na Baltic Mhe. Dora Mmari Msechu akisalimiana na watanzania waishio nchini Denmark siku ya Jumamosi Februari 21, 2015 Hafla iliyofanyika Radisson Blue Royal Hotel. Hammarichsgade 1, 1611 Kopenhagen.. |
Balozi wa Tanzania wa nchi za Nordic na Baltic Mhe. Dora Mmari Msechu akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania waishio Denmark. |
Habari Zingine
- Mugabe: watu wananiombea nife
- Usishangae Donald Trump Akiuza moja ya Majengo haya kufadhili Kampeni yake
- KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA TAIFA LA SWEDEN
- IRAQ YASEMA HAISAIDIWI KUKABILI ISIS
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA KIUCHUMI NA MAENDELEO WA MISRI (EGYPT THE FUTURE).
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :