MALIMWENGU: Hili Ndio Jumba La kifahari La WizKid Huko Los Angeles, California Nchini Marekani.

Posted in
No comments
Wednesday, March 16, 2016 By danielmjema.blogspot.com

Mitandao ya kijamii nchini Nigeria imelipuka baada ya picha za nyumba ya WizKid iliyopo Marekani kusamba. Nyumba hii ipo mjini Los Angeles, California nchini Marekani wanapoishi asilimia tisini ya mastaa wa nchi hiyo kutokana na hali nzuri ya biashara zao kwenyemjii huo.

kid 1
WizKid aliandika hivi instagram “Crib so big I got no neighbors! 🙏🏿,” and “#YoungPablo”
Kwa sasa WizKid anajiunga na wasanii kama P-Square na Davido wanaomiliki nyumba kali nchini Marekani. Hivi karibuni Wizkid alikuwa kwenye jarida la Vogue akiongelea collabo na R Kelly ya I Just Want To Thank You.
kid 2 kid 3
wizkid-mansion wizkid-mansion-2 wizkid-mansion-3 wizkid-mansion-4

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .