Baada ya Kunasa kwa Harmonize, hivi ndivyo Wolper anavyomuita Diamond

Posted in
No comments
Wednesday, May 25, 2016 By danielmjema.blogspot.com

Kwa sasa habari ya mjini, Afrika Mashariki na kati ni uhusiano kati ya Muigizaj wa Bongo movie, Jackline Wolper na Staa wa Bongo fleva kutoka Wasafi Classic Baby (WCB) Harmonize.
Katika mahojiano na Take One ya Clouds TV  na Zamaradi MketemaJackline Wolperameeleza mambo kadhaa kuhusiana na penzi lake la HarmonizeDiamond ambaye aliwahi kuwa mpenzi wake anachukuliaje mahusiano yao?
“Diamond rafiki yangu sana ni mtu ambae nategemea hata kuja kufanya nae filamu, Diamondi ni rafiki yangu sana licha ya watu wanaweza wasielewe, lakini sasa hivi Diamond ni baba mkwe wangu,
“kuhusu Harmonize nampenda kwa sababu ana hofu ya mungu, ana heshima sana mwisho hawezi kufanya maamuzi bila kuomba ushauri, katika kunipenda mimi alipiatia pia kuomba ushauri kwa Diamond ambaye ni boss wake kaka yake na kupewa ruhusa kwa hiyo Baraka zimetoka kwa Diamond mwenyewe”

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .