Wolper Aendelea kufunguka Instagram kuhusu Penzi lake kwa Harmonize
Posted in
Burudani
No comments
Wednesday, May 25, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
“Kuna kitu naamini ni kweli hata ukakipima vipi… Watu hawahitaji maelezo… Wanaukupenda hawana kazi nayo na wanaokuchukia hawatakuamini Ndo mana unashauriwa dont explain yourself… Cause in the end people who love you don't need it and people who hate you won’t believe it,” ameandika kwenye Instagram.
“Cha maana ni una amani na una furaha.. Hakuna anaejua mapito yako usiku na kuna muda hakuna anaejua kwanini unafanya baadhi ya vitu unavyofanya. Truth is kama wewe unavyoishi ndivyo na mimi ninavyoishi.. Kama wewe unavyopima kabla ya kutenda na mimi nafanya ivyo Na trust me ukiona Nimefanya jambo ujue ndilo chagua langu na nina sababu zaidi ya kila jambo lingine,” ameongeza.
“I love Raj and am happy, For any girl who knows about love au ameshawahi kupenda anaelewa namanisha nini. Na truth is i am maybe a little excited but dont we all when we found someone so amazing?? Nina furaha isiyoelezekaThe kind ambayo ukitoka gerezani ndo unahisi Nimekua huru.. Mwenye amani… Na ukweli ni kuna muda najifkiria naishia kucheka mwenyewe God had ways to turn things around..
Even when the whole world wakiamini tofauti. If he says this is it and YES. Basi itakua YES TU wao wajipe sababu tu.. Waponde wee.. Washauri wee … Wazodoe hadi wapasuke.. As long as usiku nikiwa nalala nina amani na mchana wakati natembea nina furaha. ITS ALL WORTH IT.”
Habari Zingine
- Timbulo: SIjarejea kwenye ualimu
- Vijana wazidi kujitokeza usaili wa Maisha Plus East Africa, Dar es salaam yatia fora
- RAPPER WA CAMEROON, NGOMA AACHIA VIDEO YA WIMBO MPYA ‘ALL LES DAY’, AIELEZEA COLLABO YAKE NA RAY VANNY
- New Hit: Lady Jay Dee – Sawa Na Wao
- Madonna atembelea makazi duni ya Kibera, Nairobi
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :