Wema Sepetu amuombea Diamond kura BET Awards 2016
Posted in
Burudani
No comments
Saturday, May 28, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Mwigizaji wa Tanzania ambaye ni mpenzi wa zamani wa mwimbaji Staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, Wema Isaac Sepetu ameonyesha wazi anaungana na mamilioni ya Watanzania wengine wanaomsapoti mwimbaji huyo ambaye ni Msanii pekee kutoka Afrika Mashariki anaewania anaewania tuzo ya kituo cha TV cha Marekani BET.
Wema Sepetu amepost kwenye page yake ya Instagram na kusahau yaliyopita kwa kuweka kando ugomvi kati yake na mpenzi wake huyo wa zamani ambaye kwa sasa anafanya poa katika kuutangaza muziki wa Afrika mashariki na kati na kusisitiza uzalendo kwanza "Uzalendo ndio unaotakiwa, Tanzania kwanza vingine baadae ama nene? vote vote vote’
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :