KUMBE! Nuh Mziwanda Alimfumania Shilole na Madee? kilimuumiza sana
Posted in
Burudani
No comments
Friday, May 13, 2016
By
danielmjema.blogspot.com
Nuh Mziwanda ameelezea moja ya sababu za kuachana na aliyekuwa mpenzi wake, Shilole ambapo amedai kuwa aliwahi kumfuma na Madee hotelini.
Akizungumza kwenye kipindi cha Ala za roho, Nuh mziwanda, alikataa kuthibitisha moja kwa moja tukio hilo lakini mtangazaji wa kipindi icho, Diva alivyomkaba Nuh alifunguka kuwa anawaheshimu Madee na Shilole japo kitendo icho kilimuumiza sana.
Habari Zingine
- New Hit: Lady Jay Dee – Sawa Na Wao
- Madonna atembelea makazi duni ya Kibera, Nairobi
- Timbulo: SIjarejea kwenye ualimu
- Vijana wazidi kujitokeza usaili wa Maisha Plus East Africa, Dar es salaam yatia fora
- RAPPER WA CAMEROON, NGOMA AACHIA VIDEO YA WIMBO MPYA ‘ALL LES DAY’, AIELEZEA COLLABO YAKE NA RAY VANNY
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :