Prezzo: Sihitaji 'Collabo' za Mastaa wa Afrika

Posted in
No comments
Friday, May 27, 2016 By danielmjema.blogspot.com

Rapper wa humu nchini Prezzo amesema hana haja na kolabo za wasanii wakubwa wa Afrika kwani yeye ameshapewa baraka baada ya kukutana na Rapa Jay Z. 

Akizungumza na Enewz Prezo alisema kuwa yeye anajiamini hata alivyokutana na Jay Z rapper huyo alionekana kufurahia uwepo wake hivyo hana haja sana na kolabo za wasanii wa Afrika ili kutoka kimuziki. 

Pia Prezzo alimpongeza msanii Jaguar kutoka nchini Kenya kwa kolabo yake na Mafikizolo huku akimpa pole kwa kutojua kudab katika nyimbo hiyo kiasi cha kukosea kufanya hivyo katika video yake.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .