Unaanzaje kumsahau Ronaldinho Gaucho kwa vitu adimu kama hivi?

No comments
Sunday, May 22, 2016 By danielmjema.blogspot.com

Ulimwengu wa Soka umeshuhudia magwiji wengi wa kusakata kabumbu kama Thiery Henry, Dunga, Ronaldo de Lima, Figo, Zinadine Zidane, Lionel Messi, Luis Nani, Luis Suarez, Cristiano Ronaldo, Iniesta, Drogba, Eto'o na Neymar jnr, lakini unaanzaje kumsahau Ronaldinho Gaucho?

Ronaldinho ni moja kati ya wachezaji wa Brazil waliowahi kutamba katika soka la Ulaya kwa muda mrefu, kiasi hata cha kufanikiwa kutwaa tuzo ya mwanasoka bora wa Dunia.

Ronaldinho amefanya vitu vingi katika soka, amefanikiwa kutwaa mataji yote makubwa aliyowahi kuwania ila leo mtu wangu naomba nikuletee video ya skills zake uwanjani ambazo ni ngumu kusahaulika. Video ifuatayo inakuonesha vitu adimu kutoka kwa mkali aliyewahi kutamba na Barcelona na kikos cha Brazil.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .