Wema Sepetu hawezi kusahau kauli hii
Posted in
Burudani
No comments
Wednesday, May 25, 2016
By
danielmjema.blogspot.com

Kwenye interview na Ayo tv Wema Sepetu ameitaja kauli hiyo: "niliambiwa kwamba mimi ni mgumba nitaishia kupost watoto za watu, wewe wa kwako hatutamuona utaishia kubeba mbwa tu," alisema Wema Sepetu
Habari Zingine
- Timbulo: SIjarejea kwenye ualimu
- Vijana wazidi kujitokeza usaili wa Maisha Plus East Africa, Dar es salaam yatia fora
- RAPPER WA CAMEROON, NGOMA AACHIA VIDEO YA WIMBO MPYA ‘ALL LES DAY’, AIELEZEA COLLABO YAKE NA RAY VANNY
- New Hit: Lady Jay Dee – Sawa Na Wao
- Madonna atembelea makazi duni ya Kibera, Nairobi
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :