Zlatan: NIlipokea Ofa kutoka Klabu ya England

Posted in
No comments
Thursday, May 26, 2016 By danielmjema.blogspot.com

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya PSG nchini Ufaransa Zlatan Ibrahimovic amesema kuwa alipokea ombi la kujiunga na kilabu moja ya ligi ya Uingereza lakini akakataa kuthibitisha iwapo klabu hiyo ni Manchester United au la.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34 ambaye kwasasa yuko huru baada ya kuondoka PSG na amehusishwa na uhamisho wa United. Alipoulizwa iwapo ombi hilo linatoka Old Trafford ,alisema “Wacha tuone kitakachofanyika”



Kocha wa zamani wa Chelsea Jose Mourinho anatarajiwa kutangazwa kama kocha mpya wa Manchester United na alisha wahi kufanya kazi na Ibrahimovic alipkuwa katika kilabu ya Inter Milan

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .