Laurence Fishburne naye kuigiza filamu ya Nelson Mandela

Posted in
No comments
Tuesday, June 7, 2016 By danielmjema.blogspot.com

Baada ya muigizaji wa Uingereza, Idris Elba kucheza filamu ya maisha ya Nelson Mandela (Mandela: Long Walk to Freedom, 2013), ni wazi kila mtu alidhani hakutakuwa na kazi nyingi kubwa ya kiongozi huyo wa zamani wa Afrika Kusini.

Lakini sasa staa mwingine mkubwa wa Marekani Laurence Fishburne, yupo nchini Afrika Kusini kutengeneza series ya maisha ya Mandela. Series hiyo itaoneshwa na BET mwakani. Series hiyo itakuwa na episode sita.


Waigizaji wengine waliowahi kuigiza maisha ya Mandela ukimtoa Elba, ni pamoja na Terrence Howard, Morgan Freeman na Sidney Poitier.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .